Wakuu habari za Jmosi?
Nahitaji kununua simu baada ya niliyokuwa nazo kunizingua.
Nahitaji kununua simu smart phone kuanzia Inch 5,iwe na uwezo kuanzia GB10,iwe kwenye hali nzuri na isiwe clone/feki,iwe mpya au used.
Nitumie details na picha hapa jukwaani au 0752489529 usisahau kuweka bei.
Itapendeza ukiwa upo Arusha kurahisha kuiona simu.