Mwaka 2014 nilihangaika sana na hizo mambo nikaishia kukutana na software zinazo uzwa nikagonga mwamba ila baadae kuna mdau akanitonya kuwa kama ni ishu nyeti ambayo inaweza hata kuhatarisha maisha yako na bila hizo sms huchomoi jaribu kupitia njia sahihi polisi then upewe kibali cha kupata hizo sms japo sijui sheria kwa sasa ipoje.
Ila kama umemkuta waifu kabla hujadaka simu kafuta sms na wewe unazitaka kwa njia hiz unazo taka kupita utahangaika sana.
Kila la kheri mkuu ukofanikisha ulete mrejesho Au mng'ate sikio mtu wa mamlaka ya mawasiliano kisha muone namna gani mtafanya naishia hapa