Nahitaji shamba

Nahitaji shamba

Joined
Aug 10, 2011
Posts
72
Reaction score
14
Wadau nataka kuanza shughuri za ufugaji hivyo nahitaji shamba ekari 2
Vigezo;
1.Liwe karibu na barabara au kuwe na barabara inayopitika wakati wote hadi shambani
2.Umeme ukiwa jirani ni added advantage
3. Liwe maeneo ya mvuti,mwandege,tuangoma,chanika,chamanzi au hata mkuranga.
4.Bei isizidi mil 1 kwa ekari

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom