Nahitaji shamba Ruvu!!

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,052
Reaction score
749
Bila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
 
Mashamba ya kukodi yapo ila kwa msimu huu ambao mvua zinaanza march sidhani kama utaweza lima labda ulime zao ambalo linachukua mwezi mmoja yaani February uwe unavuna kwani maji ya mto ruvu hujaa kipindi cha msimu wa mvua na hakunaga kupitika kule au ukitaka upande mpunga ambao unahitaji maji sana huu ushauri tu mkuu

mm nipo ruvu jkt nalima huko na February naanza kuvuna karibu mashamba yapo meng tu ya kukodi ila kununua sikushaauri mkuu wewe kodi tu la kunnunua nunua pengine lakini sio ruvu
 
Nataka kulima matikiti vp inawezekana,kwani kuna mtu ameniambia msimu wa kupanda ni mwezi wa nne? Je ni kweli? Na je kukodi shamba bei gani?
 
Bila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
0658 899 195, ni mzoefu pale Mlandizi na Ruvu
 
Mashamba vijiji vya mbali na ruvu bei gani kwa heka
 
Mashamba vijiji vya mbali na ruvu bei gani kwa heka
 
Bila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
Nicheki pm nakuwekea na picha
 
Mita 500 toka main road kuna nyumba kubwa imekamilika unaweza kufanya pia green house ama ufugaji ..eneo ni sq 4000...
Lingine liko mlandizi lina ekari 5 na nyumba na kila kitu
Eneo jumla sq m 4000
Mt 500 toka main road
Kuna maji na umeme.
Nyumba vyumba 3 master 1
Sebule kubwa na jiko
Frem ya chuma mt 13×33
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…