MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Bila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
Nataka kulima matikiti vp inawezekana,kwani kuna mtu ameniambia msimu wa kupanda ni mwezi wa nne? Je ni kweli? Na je kukodi shamba bei gani?mashamba ya kukodi yapo ila kwa msimu huu ambao mvua zinaanza march sidhani kama utaweza lima labda ulime zao ambalo linachukua mwezi mmoja yaani February uwe unavuna kwani maji ya mto ruvu hujaa kipindi cha msimu wa mvua na hakunaga kupitika kule au ukitaka upande mpunga ambao unahitaji maji sana huu ushauri tu mkuu
mm nipo ruvu jkt nalima huko na February naanza kuvuna karibu mashamba yapo meng tu ya kukodi ila kununua sikushaauri mkuu wewe kodi tu la kunnunua nunua pengine lakini sio ruvu
Nataka kulima matikiti vp inawezekana,kwani kuna mtu ameniambia msimu wa kupanda ni mwezi wa nne? Je ni kweli? Na je kukodi shamba bei gani?[/QUOT
kukodi shamba inategemeana sisi tulikodi kwa sh80,000 tulianza kulima mwezi wa tisa sasa sijui kikpindi hichi cha mwezi march na april kwani hatujawai kupanda miezi hii kule mvua zinaanza mwezi wa march na kunajaa maji sasa hapo ndo pagumu. kujibu ila nitakuulizia kwa wenyeji wa kule mkuu
mazao yanayolimwa kule ni mahindi, pilipili hoho, mbuzi, vitunguu, nyanya, matikiti, bamia, mbogamboga, yaani Chinese, matango na nk wewe tu utakachohitaji kulima kati ya mazao hayo
0658 899 195, ni mzoefu pale Mlandizi na RuvuBila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!
Asante0658 899 195, ni mzoefu pale Mlandizi na Ruvu
Nicheki pm nakuwekea na pichaBila shaka mu wazima,msaada tafadhali nahitaji shamba la kununua au kukodi kwa ajili ya kilimo huko Ruvu,mwenye kujua chochote kuhusu mashamba huko tujuzane tafadhali!!