Kuna shamba eka 3 barabarani lakini si barabara kubwa. Hili kama kilomita 5-10 kutoka Mkuranga mjini, sina uhakaika na kilomita.
Kuna lingine eka 71 nalo pia si barabara kubwa ya lami. Hili kilomita 23 kutoka Mkuranga mjini.
Bei maelewano.
Hizo 71 unaweza kuuza moja au lazima zote? Na ni ulekeo upi, Panzuo, Mamdimkongo, Nasibugani aaaau Shungubweni au Kimanzichana?Kuna shamba eka 3 barabarani lakini si barabara kubwa. Hili kama kilomita 5-10 kutoka Mkuranga mjini, sina uhakaika na kilomita.
Kuna lingine eka 71 nalo pia si barabara kubwa ya lami. Hili kilomita 23 kutoka Mkuranga mjini.
Bei maelewano.
Hizo 71 unaweza kuuza moja au lazima zote? Na ni ulekeo upi, Panzuo, Mamdimkongo, Nasibugani aaaau Shungubweni au Kimanzichana?
Hilo la eca3 bei ikoje?
bei gani?Shungubweni nimefikaNaweza kuuza kuanzia eka 10 kwa sasa, Shungubweni. Ten hili ni zuri sana kwani mpaka wake ni kijito kinachokuwa na maji karibia miazi 8 kwa mwaka. Na ukichimba mita moja tu maji mengi, matikiti yanakubali sana.
8 Milion kwa eka.
Duuuuh!  mkuranga ekari Milioni 8!! Mweeeh! Tena Sio beach wala halipo barabara kuu!
bei gani?Shungubweni nimefika
Ninashamba Bigwa wilaya ya mkuranga ni 1km kutoka barabara kuu upande Wa kushoto kama unatokea dar. Bei nice 1.5m kwaheka1.Nahitaji shamba la Heka 10. Liwe barabarani, sio lazima Mkuranga hata mbele zaidi, ila isizidi 100km kutoka Dar. Bei isizidi 100,000/=/Heka. Contact 0779420000
Safi sana. Bigwa napafahamu Kata ya Mwarusembe. Ni jirani sana na barabara. Ngoja nijipangeNinashamba Bigwa wilaya ya mkuranga ni 1km kutoka barabara kuu upande Wa kushoto kama unatokea dar. Bei nice 1.5m kwaheka1.
Ninashamba Bigwa wilaya ya mkuranga ni 1km kutoka barabara kuu upande Wa kushoto kama unatokea dar. Bei nice 1.5m kwaheka1.
Guys na shamba la eka 10 lipo Dodoma na tatizo ya hela mda huu, nahitaji mil. 4 kuna issue urgent imetokea, so nauza shamba langu. Bei laki 4 kwa kila eka. Shamba haijalimwa mda mref so ina rutuba Sana. Waweza kulima mahindi, alizeti, dengu n.k Kama unahitaji ni whatsapp/SMS no. yangu ni 0755 204020...