Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mkuranga - Mwanambaya

Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mkuranga - Mwanambaya

mediapix

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
485
Reaction score
90
Viwanja vinauzwa vipo njia ya mkuranga kituo kinaitwa mwanambaya.

Kiwanja vimepimwa na kila kiwanja kina barabara ya mta uduma ya umeme ipo uduma ya maji safi ipo. Viwanja vinaukubwa wa fut 50×40 bei milion 2 viwanja vipo umbali wa km 1½ kutoka balabala ku ya kilwa kalibuni sana kuja kuwekeza sio lazima ujenge nunua hata kwa kuwekeza wilaya ya mkuranga inakuwa kwa kasi sana ndugu zangu !! Piga cm 0767214609
 
Hivi shida iko kwa Walimu au Wanafunzi...
uduma...Huduma
mkuranga ....Mkuranga
kalibuni......karibuni...
 
Hazina ya kesho hio msichekwe kesho maghorofa yakijaa Mkuranga kwamba baba hata Mkuranga ukupaona
 
Mira 15 kwa mita 12. Ambazo ni square mita 180
 
Hivi shida iko kwa Walimu au Wanafunzi...
uduma...Huduma
mkuranga ....Mkuranga
kalibuni......karibuni...
Hata Kiswahili kimeshatushinda. Lugha za mama tushatemana nazo. Kimalkia ndiyo kabisaaa. Tupotupo tu yaani!
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Similar Discussions

Back
Top Bottom