Nahitaji samsung s5 kwa 300k


J

j wara

Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
86
Likes
93
Points
25
J

j wara

Member
Joined Aug 18, 2016
86 93 25
Amani iwe pamoja nanyi wakuu.

Nahitaji samsung S5 kwa shng laki 300, yenye specs zifuatazo
Ram : 2 gb
chipset : snapdragon
internal : 32gb
Pia ,iwe kwenye hali nzuri close to new one.
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
987
Likes
668
Points
180
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
987 668 180
Mimi nina UNLOCKED Samsung Galaxy S4 (SGH-I337)

Internal Storage Space - 16 GB (+ microSD Slot Expandable up to 64GB)

RAM - 2 GB

13 Megapixel Camera

Originally ilitumika kwa mtandao wa AT&T huko Marekani. Iko kama mpya na haina tatizo lolote.

Bei - 400,000/=

Tuwasiliane 0762-688-222
 

Attachments:

Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
1,637
Likes
1,018
Points
280
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
1,637 1,018 280
Kaka Mimi ninayo...
Ni mpya...Ila imepungua sifa moja tu...
Yenyewe ni 16 GB storage yake...
Nikisema mpya nakusidia boxed...
Price 330,000 but usijali tutaongea lugha kidogo...
Nicheki kwa 0716403314 au 0625882454...
Karibu Sana zimebaki mbili tu..
Nasubiri simu yako
 
J

j wara

Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
86
Likes
93
Points
25
J

j wara

Member
Joined Aug 18, 2016
86 93 25
Mimi nina UNLOCKED Samsung Galaxy S4 (SGH-I337)

Internal Storage Space - 16 GB (+ microSD Slot Expandable up to 64GB)

RAM - 2 GB

13 Megapixel Camera

Originally ilitumika kwa mtandao wa AT&T huko Marekani. Iko kama mpya na haina tatizo lolote.

Bei - 400,000/=

Tuwasiliane 0762-688-222
thank u bro, ila nahitaji s5 na sio s4
 
J

j wara

Member
Joined
Aug 18, 2016
Messages
86
Likes
93
Points
25
J

j wara

Member
Joined Aug 18, 2016
86 93 25
Kaka Mimi ninayo...
Ni mpya...Ila imepungua sifa moja tu...
Yenyewe ni 16 GB storage yake...
Nikisema mpya nakusidia boxed...
Price 330,000 but usijali tutaongea lugha kidogo...
Nicheki kwa 0716403314 au 0625882454...
Karibu Sana zimebaki mbili tu..
Nasubiri simu yako
let me think about it kwasababu internal srorage ya 32 gb ndio ilikuwa among vigezo vyangu vikubwa. Nikifikia uamuzi ntakucheck kaka
 
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
1,637
Likes
1,018
Points
280
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
1,637 1,018 280
let me think about it kwasababu internal srorage ya 32 gb ndio ilikuwa among vigezo vyangu vikubwa. Nikifikia uamuzi ntakucheck kaka
Hamna shaka...
 
F

Frankie Mgendi

Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
27
Likes
11
Points
5
F

Frankie Mgendi

Member
Joined Oct 22, 2017
27 11 5
Amani iwe pamoja nanyi wakuu.

Nahitaji samsung S5 kwa shng laki 300, yenye specs zifuatazo
Ram : 2 gb
chipset : snapdragon
internal : 32gb
Pia ,iwe kwenye hali nzuri close to new one.
Njoo nikupe S5 kwa 200k tu
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,476
Likes
3,101
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,476 3,101 280
450k nakupa s5 mbili i used them alot with scratch and dent hapa na pale moja ni special edition 2 simcards.one time offer before i change my mind na lazima zichukuliwe zote nataka kuongeza hela niamie s8
 

Forum statistics

Threads 1,236,949
Members 475,327
Posts 29,274,149