Nahitaji Salary Slip

Nahitaji Salary Slip

kinimbuga

Member
Joined
May 20, 2015
Posts
35
Reaction score
5
Ninashida Na Salary Slip Nimejiunga Na Utumishi Portal Naweza Kuprint Plz Msaada,
 
Tumia ile link ya salary slip portal ndo iko vizuri, ile ya watumishi portal slip zake hazikubaliwi popote kwa sababu hazina mwaka wa kustaafu Chief.
 
utumishi hawatoi tena,ingia website ya wizara ya fedha utaweka details zako after 24 hrs inakuwa active account yako unapata huduma 24/7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom