Umba wako
Utaki malimbukeni kama wewe,[emoji41] maana mtakua malimbukeni friends +Wapendwa,
Bado naendelea kutafuta rafiki wa kike tunayeendana. Wamekuja wengi lakini sijapata ninayemtaka. Mimi nataka binti mrembo na ambaye anajitambua vile vile. Sitaki mabinti malimbukeni.
Kama uko vizuri njoo PM