nahitaji rafiki kutoka kenya

nahitaji rafiki kutoka kenya

ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,

niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
My brother niko na maswali kadhaa kwako, una umri gani?je ulisoma mpaka wapi?na je una uelewa kiasi gani?hii ni swali natarajia niulizwe na mtoto wangu wa miaka 16 ambae ako na girlfreand ambae anapenda churchill na angependa kumupeleka huko kenya, sasa google iko inaweza kukusaidia kutafuta mahoteli ya hela ya kiasi chako, kaa wewe ni tajiri basi kina lilian towers, hilton, and laico , hizo ni hotel za kifahali mkuu, na pia zingine ndogo ndogo mkuu, na pili kwanini ujue mtu kenya, mimi huenda holiday hata disney huko florida na sihitaji kujua mtu huko marekani, wewe tafuta google ikusaidie au ongea na travel agent atakusaidia kusafiri na kukaa kenya kwa huo muda, mambo mengine mkuu si ya kuleta hapa pls, be blessed
 
thanks be blessed,
 
Back
Top Bottom