Nahitaji psychological treatment ila sijui pakuipata

Nipe Kavu

Senior Member
Oct 27, 2018
115
250
Habari zenu wakuu
Nahitaji psychological treatment ila sijui pa kuipata.Mimi naishi dar
Kama kuna mtu anaeza nisaidia kunielekeza sehem/MTU napoeza pata hyo kitu naomba anielekeze au kama unaeza nisaidia kwa namna moja au nyingine please naomba unipm
Nawatakieni siku njema
 
Simon Adebisi

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
700
1,000
Mitaa ya karibu na shule ya kibasila pale teneke kama unaelekea keko nimedhawahi kuona offisi ya mwanasaikolojia pale

Sijajua kama ni social au clinical
 
FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
1,873
2,000
Habari zenu wakuu
Nahitaji psychological treatment ila sijui pa kuipata.Mimi naishi dar
Kama kuna mtu anaeza nisaidia kunielekeza sehem/MTU napoeza pata hyo kitu naomba anielekeze au kama unaeza nisaidia kwa namna moja au nyingine please naomba unipm
Nawatakieni siku njema
Nenda muhimbili pale.kitengo cha magonjwa ya akili utaomba kumuona mwanasaikolojia.utasaidika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom