Nahitaji ps3 na ps4 used

Munch wa Annabelle

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
6,318
Reaction score
10,956
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza.

Hivyo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used nanunua, mimi nipo Mbeya usafiri juu yangu mzigo kufika huku.

NB: Bei iendane na soko usje na bei za ajabu sjuh lak tatu ps3 used, tuwe soriaz
 
Nicheki 0758751515
 
Mkuu nipm mimi ninayo na siifanyii kazi ipo ps3 bei kitonga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…