Kuna jamaa anauza hizo mbezi Louis
Game za pc ama kifaa chochote ulizoweka kwenye hard drive huwezi kuzicheza kwenye tv, unless uichomeke hio hdd kwenye laptop ama desktop kisha kutumia waya wa hdmi uconect na tv ndio uzicheze. Ila movie unaweza.Chief mkwawa always on the point harembi!
Bravo bro and sorry kwa wapigaji.
Swali kwa yeyote yule nina external drivwr ina movies na game nawezqje kuzichez hizo game nina samsung smart tv na samsung home theatre na kot hiyo ecterna ina soma ila sijajua jinsi ya ku access hizo game nahitaji nini
nimemaanisha isio ya mtumba... nafahamu hilo ndugu ndio maana nimesema mpyaHakuna ps2 mpya labda kama unakaribisha kupigwa. Ps2 ilianza kutengenezwa toka mwaka 2000 na ikaachwa kabisa kutengenezwa toka 2012, hivyo yoyote utakayoipata itakuwa imetengenezwa atleast miaka 7 iliopita.