Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
- Thread starter
-
- #41
finally nashukuru kwa elimuUmesema unataka PS4 mzee....wote wenye PS4 za umri mbalimbali watakupa offer zao...na mimi nikatoa offer yangu...
Na kua makini,PS zingine zipo locked hazifanyi kazi nchi zetu....kumbuka ma-CD yanapitwa na wakati,sasa hivi ni kucheza online na players wenzio,sasa ukute PS4 yako ipo locked uone kama utaona ndani!
poa mkuuFortaleza ngoja nikuulizie kwa mwana mmoja, gharama zake huwa hazizidi 850, nitakupa jibu kwa kitakachojiri.
Kwa ushauri wangu ingia eBay utafute PS4 au PS4 Pro kwa bei nzuri, mbongo atakuuzia ps ambayo pads zake ni mbovu au kabadilisha.
hatariiiiDah bongo bwana kuna matatizo sana kwenye vichwa vyetu leo muuzaji anauliza bei kwa mnunuaji wa bidhaa ya muuzaji
Siazimi nauzaNiazimishe basi mkuu
Ni kifaa kitumikacho kuhesabia viwanda vipyaPS4 ndio nini hiyo jameni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kifaa kitumikacho kuhesabia viwanda vipya
Hiyo ni bei ya PS4 Pro na sio PS4 plain.
nakubali jitihada zako kaka, akikutajia bei utanijuza basi.Mzee mwenzangu yupo na ps4 mbili moja slim iko installed na games 10 nyingine chipped iko na games 11.. Bado bei hajanitajia kapotea hewan ikiwa fresh nitakujuza mzee mwenzangu
Baridi, nisikilizie mpaka mida fulani nikitoka masjid nahisi itakuwa kila kitu kimekamilika kiongozi.nakubali jitihada zako kaka, akikutajia bei utanijuza basi.
ohh,sa we cha nini mzee?kwani unakiwanda? au ni zile mahnie za EFDS?Ni kifaa kitumikacho kuhesabia viwanda vipya
pamojaBaridi, nisikilizie mpaka mida fulani nikitoka masjid nahisi itakuwa kila kitu kimekamilika kiongozi.
mimi namiliki kiwanda cha kuuza barafuohh,sa we cha nini mzee?kwani unakiwanda? au ni zile mahnie za EFDS?
Yangu ni full loaded Pro,inasapoti 4K..na kuna pre-loaded Batman....and two pairs of wireless controllers..Ina boost mode enhancement..
Hata kama PS4 ya kawaida utaipata kwa 300USD kuja mpaka bongo ni roughly twice the FOB price,tuseme inakua 600USD..hiyo ni nearly 1.5mil ....haya madude sio bei rahisi sana.
Funga njema bossBaridi, nisikilizie mpaka mida fulani nikitoka masjid nahisi itakuwa kila kitu kimekamilika kiongozi.
Mzee hizi bei zako unazitolea wapi wakati kwenye website ya PS hakuna bei kama hizo?