Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
- Thread starter
-
- #21
taja bei kabisa mkuuNjoo Ps4 ninayo nichek whats app 0689800817 au nipigie kwa 0787119969
hauko siriaz wwNinayo PS4 na Game 1 ya Batman original...niliinunua mwaka jana ebay ..wewe nipe 1mil...storage ni 1TB...
Basi mimi nipe 9.5.7kkha
hauko siriaz ww
Hapo nakupa completeBasi mimi nipe 9.5.7kk
laki 9?Basi mimi nipe 9.5.7kk
Unashangaa mpya babal
laki 9?
slim?Unashangaa mpya baba
Unashangaa mpya baba
Babaa mimi nauza ps4 pro na ni mpya mzee na nagames zake kama upo serious bei hio ukitaka chukua contact njoo whats app 0689800817Hakuna ps4 used ya bei hiyo, bora anunue online, atapata kuanzia $250 au achukue ps 4 pro kabisa kwa bei ya $360.
Niazimishe basi mkuuMm ninayo PS 3
bora umenisaidia maana jamaa ananifanya MkolomijeHakuna ps4 used ya bei hiyo, bora anunue online, atapata kuanzia $250 au achukue ps 4 pro kabisa kwa bei ya $360.
mkuu....PS4 mpya ni 400USD in the USA..unategemea ni shilingi ngapi bongo?ha
hauko siriaz ww
hida yako una wenge sanaBabaa mimi nauza ps4 pro na ni mpya mzee na nagames zake kama upo serious bei hio ukitaka chukua contact njoo whats app 0689800817
We ukiwa teari njoo uwezi basi mbona zinauzika tubora umenisaidia maana jamaa ananifanya Mkolomije
Ni sehemu gani nilisema nataka ps4 mpya?mkuu....PS4 mpya ni 400USD in the USA..unategemea ni shilingi ngapi bongo?
Wewe ndio hauko serious.
Unataka PS4 ya dola 50USD?Kua serious wewe....hiyo itakua inasaga mahindi!
Umesema ps4 manNi sehemu gani nilisema nataka ps4 mpya?
mkuu....PS4 mpya ni 400USD in the USA..unategemea ni shilingi ngapi bongo?
Wewe ndio hauko serious.
Unataka PS4 ya dola 50USD?Kua serious wewe....hiyo itakua inasaga mahindi!
Dah bongo bwana kuna matatizo sana kwenye vichwa vyetu leo muuzaji anauliza bei kwa mnunuaji wa bidhaa ya muuzajiSawa ninayo pia we utanipa shs ngapi
Ni sehemu gani nilisema nataka ps4 mpya?