Wakuu salam.
Iwe Boxer au Tvs na aina nyingine pia.Naihitaji kwa mkataba kama wafanyavyo bodaboda kwa ajili ya shughuli zangu.
Hata kama imetumika,ila iwe katika hali nzuri.
Kama inahitaji matengenezo,tutazungumza.
Napatikana mabibo, Dar es salaam.
Aliye nayo tuwasiliane kwa namba:0764224662