Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 724
- 560
Habar wana JF, kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza, ninahitaji pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi na biashara pia.....iwe na masharti na vgezo vifuatavyo:
(1) iwe imetumika ndani ya mwaka mmoja yaan isewe imetumika zaidi ya mwaka mmoja tangu kununuliwa ikiwa mpya. Au mwaka mmoja na miez isyozid 5.
(2)iwe na afya njema(good condition) yaani isiwe imechoka au kufunguliwa/kuchokonolewa na mafund inshort isiwe na dosari.
(3)isiwe chinise type, iwe aina nyingi kama boxer, tvs, Honda, au (kidogooo) dayun etc
(4) iwe na vibal vyote..
(5)itakaguliwa na fund wangu pia kabla manunuzi
(6)mauziano yatafuata taratibu maalum wa mauziano + guarantee
(7)Bei yako iwe affordable inayoendana na hali ya maisha ya Mtanzania wa kawaida.
(8) uwe mkwel na mwaminifu.......
Mi nipo Moshi Njia panda...... Karibun PM na bei, muda iliyotumika, na vigez vngne kama nilivyoeleza awal..... Whatsapp number 0718-321418 kwa picha na maelezo ya ziada..... Asanten.
Sent using Jamii Forums mobile app