Nahitaji Pikipiki TVS 125 HLX

Nahitaji Pikipiki TVS 125 HLX

Kwa nini usifanye hivi,
Nenda pale WATU,
Nenda na mdhamini,
Vitambulisho vya nida
Laki nne ya kuanzia.

Utachukua pikipiki mpya(TVS 125 HLX)

Ukinunua TVS used utasumbuka sana, zinakuwa na magonjwa ya ajabu zikianza kuchoka....huwa ni nzuri sana na haziharibiki ovyo zikiwa mpya, unlike BOXER.

Take it or leave it!!
 
Ni sawa lakini hii naitaka kwa matumizi yangu binafsi boss sidhani kama nina haja ya kwenda kokopa na kuanza kulipa deni
 
Ni sawa lakini hii naitaka kwa matumizi yangu binafsi boss sidhani kama nina haja ya kwenda kokopa na kuanza kulipa deni
Kwa nini usitafute boxer kwa hiyo bei? Tvs zikianza kuugua kuzitibu ni kazi sana, sema kwa vile ni matumizi binafsi, ukinunua Spares hakikisha ni original.
 
Mkopo haufai unamtafutia mtu pesa ya pikipiki mpya na hela nyingine kama nusu bei ya hyo pikipiki ngoja nijikongoje na hiki kidg nilichonacho
ila umeshaurhwa vizuri hapo.
Used acha iitwe used tu na mpya ni mpya.
 
Back
Top Bottom