Nahitaji pikipiki Sanya 125 au boxer na Friji nipo Chato

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,138
3,324
Nahitaji pikipiki Sanya 125 yenye muundo kama boxer au boxer yenyewe na Friji . Kwenye pikipiki nina 1.8 M na friji ni 250 k. Kama mnaweza mnaweza kuniunganisha kwa wauzaji wazuri
 
Boxer mpya kwa 1.8 huwezi kupata original na fridge unataka ya ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom