wasiliana na mimi ninao piki piki zipo kwenye hali nzuriHabari wakuu....nahitaji kununua pikipiki
kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane
tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa!
mwenye nayo ani PM
Mimi ninayo naiuza nitafute kwa namba hii 0757537374