Nahitaji photocopy machine...

Nahitaji photocopy machine...

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Nahitaji photocopy machine kati ya aina zifuatazo:- IR2025, IR2520, IR 2020 na hata kubwa kidogo zaidi ya hizo.

Bei tutaongea.. mwenye nazo anicheki faster nahitaji ndani ya siku mbili tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom