mchongo uwe uhakika tu hayo mengine niachie mmutaweza masharti sasaπ
Umeng'oa break πmchongo uwe uhakika tu hayo mengine niachie mm
sina hata kiwanjaUna hati ya nyumba?
πKama marinda ni mapya jaribu kuongea na mzabzab
life ngumu kakaUmeng'oa break π
Mpaka hapa umesha feli mashart mkuu.. πππ.hakuna muda wakupoteza
nahitaji pesa zachap chap .yan ndani yamuda mfupi maisha yangu yawe good.
Nahitaji wazee wa connection mnishike mkono kijana wenu
NOTE; kwenye hili niko serious zaidi ya unavyodhani
jamaa nikama wale wanaosubiri mkate kwa shemejiπ π π Aise
sawa nipe codeMpaka hapa umesha feli mashart mkuu.. πππ.
Mbona kinyonge? Shida yako imeisha?sawa
Bado unaonekana kabisa Huwezi kujikana nafsi yako,sawa nipe code