Nahitaji PDF ya vitabu vya Physics

Dec 9, 2018
64
125
Wakuu, ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ninaomba kama kuna mwenye PDF ya vitabu vifuatavyo anisaidie:
  • Principles of Physics by Nelkon
  • Abott Physics na
  • Lambert Chemistry

Vyote vya O-level

Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
 

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
2,137
2,000

Don Vito

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
596
1,000
Kwa wanaoenda A-level, Pcm/Pcb kuna vitabu viwili up for grabs, vyote kwa 40k tu (negotiable)

1. Rogers Muncaster 4th edition A-level Physics
2. E.N Ramsden 4th edition A-level Chemistry
DSC_0045.JPG
View attachment 1779707 View attachment 1779706 View attachment 1779705 View attachment 1779708
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom