Nahitaji PC ya kukodi

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,891
2,367
Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji PC ya kukodi yenye sifa zifuatazo
Model iwe HP
Iwe na uwezo wa kukaa na chaji at least two hours
Offer kwa mwezi Tshs 15000/
Nipo Dar
Kwa alie tayari aje PM
 
Yaani we mtu akupe pc mwezi mzima halafu umpe 15k? Kwani imekuwa chumba cha kupanga? Depreciation ya electronics iko juu sana, labda 150k kwa mwezi
 
Kwani nimekuambia nataka PC mpya?
PC ushstumia miaka kibao nikulipe 150k upo serious keeli?
Hapo nikiongeza 120k napata HP used dukani na warranty ya miezi sita
Yaani we mtu akupe pc mwezi mzima halafu umpe 15k? Kwani imekuwa chumba cha kupanga? Depreciation ya electronics iko juu sana, labda 150k kwa mwezi
 
15k na nshapata mzee
Wanaofanya biashara washakuja Pm
Kukusaidia sijasema nataka PC mpya
Hivi unajua kariakoo unapata PC used kwa 160k na warranty ya miezi mitatu?
15k nikajua 150k.
 
Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji PC ya kukodi yenye sifa zifuatazo
Model iwe HP
Iwe na uwezo wa kukaa na chaji at least two hours
Offer kwa mwezi Tshs 15000/
Nipo Dar
Kwa alie tayari aje PM
Sijawahi sikua hii kitu....
 
Back
Top Bottom