Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

😁😁 Hiyo fumba na kufumbua mzigo wote unahamishwa na kuacha backdoor
 
Kumbe tuna hacker kwenye familia, sasa hivi haina haja ya kujisumbua kuomba omba namba kwa kila mtu akiringa tuna hack simu yake 😁 Thesonboy
πŸ˜…πŸ˜… hadi gari akifunga mlango tunaifungua anatukuta tumekeaa ndani.. tunamsubiri. Hii ya kutumia advantage Kuna siku jamaa yangu amekwaza sehemu ya huduma flani, jamaa kamindi kaniambia nizipige chini A.C alafu tuondoke wateseke na joto hadi waje pata solution sie tumefika home
 
Kidude kinajaribu fanya yake πŸ˜…πŸ˜…
Hapa kisaidie na mkuu dosho12 ku mscan mke wake πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…