Nahitaji Pasi ya umeme

Nahitaji Pasi ya umeme

mtafute member anaitwa srinavasi atakuuzia pasi original na vitu vingi vya umeme og
 
Mkuu, hii Philips ni aina/kampuni ya Pasi....?
We na wewe umezaliwa miaka gani hadi usijue brand kubwa kama Philips......

Hizi pasi zilikuwapo tokea enzi za kutumia pasi ya mkaa....... Ni kama mtu akutajie Colgate au Kiwi uulize ni kitu gani
 
Tatizo hivi vitu nilikuwa Niko ignorance navyo..
 
Back
Top Bottom