STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,696
- 7,309
Habari za time hii wa JF..
Yeyote anayefahamu aina/kampuni mzuri ya Pasi ya umeme naomba anitajie hapa ..
Maana Siku hz vifaa vingi ni fake..
Kuna mshikaji wangu alinunua pasi akatumia wiki tu ikaungua..
So mwenye kujua kampuni bora ya pasi aniwekee jina hapa hata ikiuzwa laki moja, fresh tu bora iwe very quality.