Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

Nahitaji Partner wa kufanya naye biashara.

Mkuu ulienipigia simu namba mwisho ya Voda 07561**999 simu yangu ikawa inatumika na ukanitumie meseji
"partna wa JF biashara"

Nimekupigia wewe nimeambiwa namba yako haipo nini tatizo? Nipigie Tena tafadhali muhimu Sana.
 
Weka details zote, za huo mpango, ili mtu anapokupigia inakuwa ni hatua moja mbele katika kushirikiana baada ya kujiridhisha na mpango kazi husika.
Mwalimu unajua fika ninavyokuheshimu kaka.

Sikutaka kuweka wazi na ndio maana nikaweka namba za simu.

Kwa heshima yako Tu naweka neno
Patna anatakiwa awe na milion 30 za Kitanzania ziwe bank au cash.
 
Back
Top Bottom