Advantages ya Plastic,
1. Inadumu kwa muda mrefu
2. Ni rahisi hata kwa kisafisha
3. Huwa Muonekano bora zaidi ya Mbao
4. Kwa kutumia bidhaa ya plastic hauharibu mazingira.
Plastic yetu ni Poly, Yaani natural extract from petroleum products na sio Recycled au PVC.
Wasiliana nasi kwa namba hizo 0677045403 tukupatie kilicho bora zaidi.