Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Kwa maeneo uliyotaja huwezi pata kwa hela hiyo labda kuanzia laki na nusu au mbili.Wadau
Naomba mwenye kujua anisaidie kupata nyumba ya kupanga (self) yenye vyumba viwili vya kulala au zaidi,iwe maeneo ya Njiro au makao mapya,bajeti yangu ni laki moja kwa mwezi,na naweza lipa 6 miezi mfululizo.
asanteni
Wadau
Naomba mwenye kujua anisaidie kupata nyumba ya kupanga (self) yenye vyumba viwili vya kulala au zaidi,iwe maeneo ya Njiro au makao mapya,bajeti yangu ni laki moja kwa mwezi,na naweza lipa 6 miezi mfululizo.
asanteni
Ndugu jaribu hii:
Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/- tu kwa mwezi. Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu.
Pungufu moja la nyumba hii ni kuwa haina maji lakini ina matangi mawili (10,000Lts+2000 Liters) ambayo mpangaji anaweza kuagiza maji na kuyajaza kwa gharama yake.Hii nyumba ni mpya na ina umeme. Pia ipo mahali patulivu na usalama ni wa uhakika.
Ukihitaji hii nyumba basi piga simu kwa Gerald 0685612463 au 0719300277.
Unamaliza button bure.umeangalia uzi una miaka mingapi?
labda ukapange majengo,mbauda,ngulelo,sekei au sakina ya juu kwa hyo bei njiro kwa rooms unazotaka itaanza 2 na nusu kwenda mbele makao mapya kuanzia laki mbili