hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
jamani kuna nyimbo za wasanii kutoka congo nazipenda sana,,fally ipupa-associe na fere gola-100 kilo sasa nahitaji nipate nyimbo nyingine zenye midundo kama ya hizo hapo (midundo ya kutulia) kwa wanaozifahamu wanitajie majina nikazitafute