ninayo nokia 210 , imetumika mwezi mmoja...ina whatsapp..inakaa na charge zaidi ya siku mbili (hapo ukiwa unachat sana) ina support line 2, nipe elfu 80 tu, dukani inauzwa laki na 30.Nahitaji simu tajwa hapo juu kwa bei ya simu iliyotumika. Asanteni.