muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Jul 31, 2019 #1 Habari wadau Nahitaji Njiwa wa Kufuka mimi nipo Mwanza, Sihitaji Njiwa wa Gharama kwani nahitaji wa Kawaida tu, Kama upo mwanza na unauza nichek inbox
Habari wadau Nahitaji Njiwa wa Kufuka mimi nipo Mwanza, Sihitaji Njiwa wa Gharama kwani nahitaji wa Kawaida tu, Kama upo mwanza na unauza nichek inbox
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,818 Reaction score 6,547 Aug 2, 2019 #2 Nadhani hapo mtaani lazima utapata, wakikupiga sana hawazidi 3k
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Aug 2, 2019 Thread starter #3 bado natafuta