Nahitaji ngano au shairi asap

GreenHouse

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
280
Reaction score
262
Wadau ninahitaji ngano au shairi iliyovunwa haraka iwezekanavyo. Kiwango ni Tani 30 kwa kuanzia.
Iwe ngano au shairi safi na nzuri yenye kukidhi viwango vya kimataifa.
Isiwe imetobolewa na wadudu au imeharibika kwani itamwagwa yote na kupakiwa upya ili kukaguliwa kabla ya muuzaji kuuza. Kwahiyo tuokoe muda na gharama. Inatakiwa yote iwe sehemu moja inayofikika na si mafungu mafungu.

Tafadhali PM bei, location na uhalali wako wa kuimiliki/kuuza Nb: dalali hatolipwa na mnunuzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…