Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Jan 24, 2018 #1 Wapendwa, Ninafanya kazi kuhubiri na kutoa huduma ya kiroho kwenye taasisi mbalimbali. Nitakaa Mwanza kwa miezi mitatu au minne katika likizo yangu. Hivyo ninependa kufundisha Bible Knowledge katika taasisi za Umma au Binafsi. Pia ninaweza kufundisha masomo ya Geography,History na English maana ninalishawahi usomea ualimu ngazi ya Diploma kwa ualimu wa sekondari. Ningependa kufanyia kazi hiyo mkoa wa Mwanza katika wilaya za Kwimba,Misungwi au Magu Mungu awabariki.
Wapendwa, Ninafanya kazi kuhubiri na kutoa huduma ya kiroho kwenye taasisi mbalimbali. Nitakaa Mwanza kwa miezi mitatu au minne katika likizo yangu. Hivyo ninependa kufundisha Bible Knowledge katika taasisi za Umma au Binafsi. Pia ninaweza kufundisha masomo ya Geography,History na English maana ninalishawahi usomea ualimu ngazi ya Diploma kwa ualimu wa sekondari. Ningependa kufanyia kazi hiyo mkoa wa Mwanza katika wilaya za Kwimba,Misungwi au Magu Mungu awabariki.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,913 Jan 24, 2018 #2 Unajitolea bure au unataka ulipwe?
Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Jan 24, 2018 Thread starter #3 Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana
Rekondoboshiki JF-Expert Member Nov 24, 2017 228 280 Jan 24, 2018 #4 Online Pastor said: Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana Click to expand... Unaposema kufundisha Bible knowledge unamaanisha nini, je wewe una huduma ya ualimu (Efeso 4:11) wa Neno Mungu kama walivyo kina Mwakasege, au?
Online Pastor said: Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana Click to expand... Unaposema kufundisha Bible knowledge unamaanisha nini, je wewe una huduma ya ualimu (Efeso 4:11) wa Neno Mungu kama walivyo kina Mwakasege, au?
Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Jan 24, 2018 Thread starter #5 Rekondoboshiki Namanisha kufundisha somo la biblia kwa shule za sekondari za umma au private,ili waweze kulijifanyia mitihani ya kidato cha nne. Ndiyo mimi ni mwalimu kwa kusomea na kuutumishi
Rekondoboshiki Namanisha kufundisha somo la biblia kwa shule za sekondari za umma au private,ili waweze kulijifanyia mitihani ya kidato cha nne. Ndiyo mimi ni mwalimu kwa kusomea na kuutumishi
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,913 Jan 24, 2018 #6 Online Pastor said: Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana Click to expand... Vyema sana
Online Pastor said: Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana Click to expand... Vyema sana
Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Jan 24, 2018 Thread starter #7 Bujibuji karibu sana
Rekondoboshiki JF-Expert Member Nov 24, 2017 228 280 Jan 24, 2018 #8 Online Pastor said: Rekondoboshiki Namanisha kufundisha somo la biblia kwa shule za sekondari za umma au private,ili waweze kulijifanyia mitihani ya kidato cha nne. Ndiyo mimi ni mwalimu kwa kusomea na kuutumishi Click to expand... sawa
Online Pastor said: Rekondoboshiki Namanisha kufundisha somo la biblia kwa shule za sekondari za umma au private,ili waweze kulijifanyia mitihani ya kidato cha nne. Ndiyo mimi ni mwalimu kwa kusomea na kuutumishi Click to expand... sawa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,894 155,913 Jan 24, 2018 #9 Online Pastor said: Bujibuji karibu sana Click to expand... Hivi kuna tofauti kati ya Bible Knowledge Na Divinity?
Online Pastor said: Bujibuji karibu sana Click to expand... Hivi kuna tofauti kati ya Bible Knowledge Na Divinity?
Online Pastor JF-Expert Member Sep 7, 2017 1,948 1,515 Jan 24, 2018 Thread starter #10 @Bujibuji,ni kitu kile kile,ila kimepewa majina tofauti kulingana na hatua ya kujifunzia