Nahitaji nafasi ya kufundisha Bible Knowledge kwa mkoa wa Mwanza

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Wapendwa,

Ninafanya kazi kuhubiri na kutoa huduma ya kiroho kwenye taasisi mbalimbali.

Nitakaa Mwanza kwa miezi mitatu au minne katika likizo yangu.

Hivyo ninependa kufundisha Bible Knowledge katika taasisi za Umma au Binafsi.

Pia ninaweza kufundisha masomo ya Geography,History na English maana ninalishawahi usomea ualimu ngazi ya Diploma kwa ualimu wa sekondari.

Ningependa kufanyia kazi hiyo mkoa wa Mwanza katika wilaya za Kwimba,Misungwi au Magu

Mungu awabariki.
 

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Bible Knowledge nitafundisha bure,ila hayo masomo mengine nitafanya kwa hela,japo ni kidogo sana
 

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Rekondoboshiki

Namanisha kufundisha somo la biblia kwa shule za sekondari za umma au private,ili waweze kulijifanyia mitihani ya kidato cha nne.

Ndiyo mimi ni mwalimu kwa kusomea na kuutumishi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom