Nahitaji Mwenza

Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
Hii mechi sio fair kabisa! Kabla ya kuanza tayari 2 - 0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom