P PrincessGinna New Member Joined May 22, 2024 Posts 2 Reaction score 37 May 23, 2024 #1 Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha. Sifa zangu ni Mweusi Mkristo Ninafanya bihashara Nina watoto 2 Naishi dar es salaam. SIFA ZA MWANAUME. Rangi yoyote Awe mrefu, asiwe na kitambi Kabila lolote Awe na shughuli inayomuingizia kipato Awe na miaka 32 na kuendelea. Awe mkristo Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa. Awe mkoa wowote kasoro Moshi. ASANTENI mnakaribishwa pm..
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha. Sifa zangu ni Mweusi Mkristo Ninafanya bihashara Nina watoto 2 Naishi dar es salaam. SIFA ZA MWANAUME. Rangi yoyote Awe mrefu, asiwe na kitambi Kabila lolote Awe na shughuli inayomuingizia kipato Awe na miaka 32 na kuendelea. Awe mkristo Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa. Awe mkoa wowote kasoro Moshi. ASANTENI mnakaribishwa pm..
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,359 Reaction score 27,739 May 23, 2024 #2 PrincessGinna said: SIFA ZA MWANAUME Awe mkoa wowote kasoro Moshi. Click to expand... Inaonekana wewe ni mbaguzi Sana, siyo katika suala la ukabila Tu Bali hata masuala mengine, anyway Kwani mzazi mwenzio kafariki? NB: Moshi siyo mkoa
PrincessGinna said: SIFA ZA MWANAUME Awe mkoa wowote kasoro Moshi. Click to expand... Inaonekana wewe ni mbaguzi Sana, siyo katika suala la ukabila Tu Bali hata masuala mengine, anyway Kwani mzazi mwenzio kafariki? NB: Moshi siyo mkoa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,467 May 23, 2024 #3 Baba wa watoto alikua wa Moshi? Huo mkoa wa Moshi upo wapi?
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 May 23, 2024 #4 Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,362 May 23, 2024 #5 Wifi nmekukosa kaka zangu walikosea nini😭😭😭 Kaka zangu njooni tutetee kdogo
EEM M JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 475 Reaction score 980 May 23, 2024 #6 Leta video ya mazishi ya Mzazi/wazazi wenza.... Asahv tushastuka hatujichanganyi 😂😂
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,321 Reaction score 16,560 May 23, 2024 #7 Ohooh! Aiseeeh
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,081 Reaction score 6,086 May 23, 2024 #8 Punguza miaka ya mwanaume kwenye 32 hapo. upate Bwana.
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 May 23, 2024 #9 PrincessGinna said: Awe mkoa wowote kasoro Moshi. Click to expand... Samahani mkuu, mbona kama unachukia wachaga? Kuna nini?
PrincessGinna said: Awe mkoa wowote kasoro Moshi. Click to expand... Samahani mkuu, mbona kama unachukia wachaga? Kuna nini?
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 May 23, 2024 #10 ephen_ said: Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸 Click to expand... Wanawake mbona hampendani lakini.
ephen_ said: Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸 Click to expand... Wanawake mbona hampendani lakini.
Ayos JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 1,028 Reaction score 2,579 May 23, 2024 #11 Utampata na atakupa support, raha, na ulinzi wewe na watoto wako。
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 May 23, 2024 #12 mshamba_mwingine said: Wanawake mbona hampendani lakini. Click to expand... Fafanua
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,395 Reaction score 104,797 May 23, 2024 #13 Ushanipata future huby, ebu ngoja mudi waje wafunge huu uzi. Nimekucheck PM..😋
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 May 23, 2024 #14 ephen_ said: Fafanua Click to expand... Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati, kijana nadhifu
ephen_ said: Fafanua Click to expand... Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati, kijana nadhifu
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 May 23, 2024 #15 mshamba_mwingine said: Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati, kijana nadhifu Click to expand... Sawa.
mshamba_mwingine said: Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati, kijana nadhifu Click to expand... Sawa.
Common Folk JF-Expert Member Joined Nov 8, 2023 Posts 877 Reaction score 3,920 May 23, 2024 #16 Umesahau kuwaambia wewe ni mfupi. Alafu ni mkaidi sana. Na mumeo hakukuacha bali ulikimbia mwenyewe🙂
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,450 May 23, 2024 #17 Uone sasa wavunja moyo walivyo. Utapata tu.
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,679 Reaction score 8,216 May 23, 2024 #18 Asiwe moshi , lakn wachagga ni accepted
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,592 May 23, 2024 #19 ephen_ said: Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸 Click to expand... Leo umeamua kutoa dozi, si mchezo
ephen_ said: Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸 Click to expand... Leo umeamua kutoa dozi, si mchezo
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 May 23, 2024 #20 narumuk said: Leo umeamua kutoa dozi, si mchezo Click to expand... Sifa ya mwanaume ni Heshima na Uwajibikaji Urefu, ufupi, wembamba hivo ni vitu extra havina hata thamani
narumuk said: Leo umeamua kutoa dozi, si mchezo Click to expand... Sifa ya mwanaume ni Heshima na Uwajibikaji Urefu, ufupi, wembamba hivo ni vitu extra havina hata thamani