Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
mke utakaempata usije hapa kulalamika.Kivipi mkuu Gadaffi
mke utakaempata usije hapa kulalamika.Kivipi mkuu Gadaffi
Kwani hakuna jukwaa la malalamiko?mke utakaempata usije hapa kulalamika.
hilo tangazo lako bora ungeweka facebook, wanawake waliomo humu ni wale wenye akili za kiume yaani ni zaidi ya unavyotaka wewe!Kwani hakuna jukwaa la malalamiko?
Asante sana mkuuChangamkia fursa rafiki,
Situmii Facebook mkuu,hilo tangazo lako bora ungeweka facebook, wanawake waliomo humu ni wale wenye akili za kiume yaani ni zaidi ya unavyotaka wewe!
Mm nawapenda african queens jaman wala usijali mpendwaKwahiyo sisi african queen hatuhitajiki kabisawenye identity ya africa
Mimi niko hapa nataka black beauty bibieHv ulishapata........du kumbe me mweusibasi tena
Mimi niko hapa nataka black beauty bibie
wee Sema kweliBado sijapata mkuu,kuwa mweusi it's better than weupe wa kwenye makopoHv ulishapata........du kumbe me mweusibasi tena
Ahsante bado natafutaKila la kheri...
Ahsante bado natafutaMkuu hujaleta feedback
Kwelii kabisaa nije Pm?wee Sema kweli
Benki una salio kiasi nikupe namba chapNdiyo ni mimi