Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Wacha kabisa.Pole inaonekana ndoa ya kwanza alikuwa mchaga sasa hutaki kurudia makosa
Wachaga wana shida gani?Mimi mwanamke wa kichaga hata bureee sichukui kwa kweli.. Nilishuhudia walivyo na roho za kikatili na yalinikuta sitasahau..
Duh si kwa madongo haya, ila naye 44 kijana kweli ama mbaba huyu😂Kijana miaka 44? Sisi wenye 30 ni watoto basi.
Unatafta mdada wa miaka 40, kuna mdada wa miaka 40 kweli?
Mwanamke kuanzia miaka 30 huyo ni mmama sio mdada.
Mkuu kwanza kubali kwamba umeshatoka barabarani, wewe unatakiwa ukapate chanjo ya covid maana ni umri hatarishi usijipe matumaini eti wewe ni kijana.
Wenzako waliooa na miaka 20 ama 24 wana wajukuu wewe bado unajifariji wti ni kijana. Aisee.