Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

kwa upande wa mchumba:
sasa akiwa miaka 18 na wewe 29! si utapoteza miaka 10 mingine kulinda, kuchunguza na kudata mkuu! tena wa Daslaam! na hapo mwisho wa siku kazi utakuwa hauna maana akili itahama kabisa! labda kama wewe sio strict sana!

kwa upande wa mke:
ongea na wazee vizuri. zile mbinu za zamani zimepuuziwa kwa muda lakini ndio njia sahihi kutumia kupata mke! ila kwa Daslaam, sijui mkuu!
 
Wapo wanaojitambua mkuu, usiwabeze wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom