Nahitaji mwenye photocopy mashine

Nahitaji mwenye photocopy mashine

Kiti Chema

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
1,793
Reaction score
1,968
Habari wakuu wangu i hope kila mmoja wenu yuko salama. Niende kwenye lengo kamili.
Nahitaji mwenye kuuza photocopy machine aniuzie au mkazi wa Dar aniambie machine hiyo inauzwa bei gani.

Mimi ni kijana ambaye nahitaji kuinuka na kusimama kama wengine kiuchumi na plani yangu mwaka huu nilitaka kuanzisha stastinary huku mkoani. Pia kama hamto jari mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo si vibaya akanijuza ili kunipa mwanga nianzie wapi.

Natanguliza shukurani kwa yeyote atakaye nipa mawazo yoyote nayo nitayafanyia kazi. Thanks
 
Ni nzuri has a ukiwa karibu Na shule za A level. Pamoja vyuo
 
Vipi utotoa na kusambaza vipeperushi pendwa nikupe printa buree ?
 
Ipo njoo kimara mwisho tufanye biashara au pm kwa maelezo yaliyoshiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom