mimimchaga
Member
- Feb 24, 2025
- 14
- 50
Nenda kwa Mwl Joseph Maghabe huko Instagram nasikia kuna sandakarawe ya wachumba wanapataga huko mpk wanaoana mkuuNamuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi hamuwataki wachaga,)
Aishi popote duniani ntamvumilia tu
mwanaume awe na Umri tupishane awe na 35+ hata 40 itapendeza zaidi akiwa catholic itapendeza zaidi
Naomba msinitukane maana nitahuzunika ,I'd nyingine imefungwa na mod sababu ya mtu alianza kutukana nkamjbu
Akiiwa na mtoto itapendeza zaidi
K
wa maelezo mengine ni pm
E MUNGU nijalie na mimi
Naona umekuwa dalali,post yako lini au ni katibu wa kataa ndoa.Waoaji mnaitwa huku, kuna Fursa kwa ajiri yenu.
Subiri wanakuja.
Ka...... au basi [emoji23]Waoaji mnaitwa huku, kuna Fursa kwa ajiri yenu.
Subiri wanakuja.
Wewe ulitakiwa mke wangu, sijui nilikukosaje.All the Best
Wachezaji wa utopolo mnaitwa hukuNamuomba MUNGU Anipe mchumba