Nahitaji mwanaume,umri 30-36


Weeka naww sofa zako kind ulivyo.
 
naona ma-senior bachelor mwaka wetu huu..... Shy land haikuhusu hii bado mdogo wewe
 
Last edited by a moderator:
Bibi yangu naye anatafuta Mme mwaka huu
 

Source: mm Mwenyewe namhafamu
 
Mkuu kwani kujuana hairuhusiwi? Hahahaa karibu PM tujuane vizuri sasa. Usiishie kubahatisha tuu.

Vigezo ninavyo ila kwa majibu yako nmeanza kukuogopa....staki mie kuish maisha ya panya na paka
 

Hili jimwandiko na ID imekaa kiumeume.... Ngastuka!!!
 

Vipi kuhusu dudu liwe na cm ngapi?
 
Acha uoga wewe hiyo 160cm ni mtu mfupi sana ni kama urefu wa 5.2ft... So angesema walau anataka mtu mwenye urefu wa kuanzia 180cm hapo ingekuwa kikwazo kwa waTZ wengi maana wengi wao ni below 180cm(5'9ft)

Ni kweli kabisa mkuu. Mimi nina 163 cm na ni mrefu wa kawaida tu. Hiyo 160 cm isiwatishe.
 

Weka # bac, au???
 

dah bahati za aina hii hazikuwepo enzi zetu.n'way kila la kheri
 

Yes nahisi nakufaa mamy maana vigezo vyote ulivyovitaja ninavyo kabisaaa but tatizo langu ni moja tu,SINA HELA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…