Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.

Ulikuwa hauna haja ya kuja hapa kutafuta vidume tata/bongo fleva, kama unaishi Dar basi uko ndipo waliko wengi....usishangae wakikutongoza, wakubalie tu ila mwisho wa siku utakuja kugundua kuwa ni mashoga zako tu.
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Mimi ni mwanaume, hata mimi pia natafuta mwanamke wa kupeana emotional support bila kuhusisha sex, niko serious kwenye hili na ninasema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu. Nilitamani sana siku nyingi kupata mwanamke wa namna hii. Ni imani yangu kuwa mimi na wewe tutaishi maisha yenye upendo wa dhati kabisa na maisha yenye furaha na mafanikio makubwa sana katika nyanja zote za maisha kuliko unavyoweza kufikiri. Usikate tamaa na maisha amini kuwa unaweza kuwa above your worst circumstances kwa kufanikiwa kutatua tatizo zito sana kwenye maisha yako na kuwa na furaha ya kweli katika maisha yako. Maswala mengine yote yako vizuri, tutaongea kwa kina zaidi privately, nimetembelea PM yako it is not accessible, hivyo unaweza kuwasiliana na mimi kupitia kwa mawasiliano yangu yafuatayo:

Karibu sana.
 
(1) Namba ya simu : 0677449476

E-Mail: salmon.michael18@gmail.com

Karibu sana.
Duuuu hanithi
 
Duuuu hanithi
Ndugu nina changamoto hii lakini napatwa na upweke sana kukaa pekee yangu, hivyo, ninamtafuta mwanamke mwenye changamoto kama ya kwangu ili tuishi pamoja na tupeana company na faraja na tushirikiane kutafuta maisha maana ninao uwezo wa kumtunza mke na nina kazi nzuri tu. Simuhitaji kabisa mwanamke aliyekamilika namuhitaji mwanamke mwenye matatizo kama yangu. Watu wanachangamoto nzito duniani ukiwa una mzima hata kama wewe maskini basi mshukuru mungu wako.
 
Sawa ndugu kila la kheri
 
Samahani kwa kuuliza kunatofauti gani ya kuwa hanithi na kuwa shoga?
 
Nitafute pengine Allah akajaalia ukapona ..usikate tamaa na rehma za mwenyez mungu .....wapo walipona naweza kukuelekeza mahal ukasaidiwa
 
Samahani kwa kuuliza kunatofauti gani ya kuwa hanithi na kuwa shoga?
Bila samahani, kuwa hanithi ni kwamba kiungo chako cha kiume kinakuwa akifanyika kazi na hii haina kabisa uhusiano na ushoga kwa sababu mtu akiwa hanithi bado anaendelea kuwa na homoni za kiume na pia kuwa sex orientation yake, mimi pamoja na kuwa na changamoto hii sexual orientation yangu ni heterosexual yaani napenda company ya mwanamke na nina chukia sana sexual orientation zingine namely homosexuality, bisexuality na asexuality. Swala mtu kuwa shoga ni sexual orientation ya mtu halina kabisa uhusiano na "uhanithi wa asili" wa mwanaume na kirai "uhanithi wa asili" ni na maanisha uanithi ambao mtu anazaliwanao. Hakuna uhusino wowote kati ya uanithi wa asili (wakuzaliwanao) na ushoga ndo maana kuna wanaume rijali wanakuwa mashago na huku wana mahusiano na wanawake. Hatahivyo, kunaweza kuwa na uhusiano kati ya uhanithi usio kuwa wa asili yaani uanithi wa kuja baadaye hii ni kwa sababu mwanaume akiingiliwa kinyume na maumbile mwisho wa siku uume wake unaacha kufanya kazi hivyo mtu huyu tunaweza kumuita hanithi pia ingawa kuna uhanithi wa kuja baadae ambao hautokani na ushoga bali unatokana na magonjwa au changamoto za kiafya. mimi binafsi nachukia sana kitu hiki kinaitwa ushoga kwa wanaume.

Mimi binafsi navutiwa na wanawake na sex orientation yangu ni heterosexual ndo maana ninatafuta company ya mwanamke.
 
Asante mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom