Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mwanaume, hata mimi pia natafuta mwanamke wa kupeana emotional support bila kuhusisha sex, niko serious kwenye hili na ninasema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu. Nilitamani sana siku nyingi kupata mwanamke wa namna hii. Ni imani yangu kuwa mimi na wewe tutaishi maisha yenye upendo wa dhati kabisa na maisha yenye furaha na mafanikio makubwa sana katika nyanja zote za maisha kuliko unavyoweza kufikiri. Usikate tamaa na maisha amini kuwa unaweza kuwa above your worst circumstances kwa kufanikiwa kutatua tatizo zito sana kwenye maisha yako na kuwa na furaha ya kweli katika maisha yako. Maswala mengine yote yako vizuri, tutaongea kwa kina zaidi privately, nimetembelea PM yako it is not accessible, hivyo unaweza kuwasiliana na mimi kupitia kwa mawasiliano yangu yafuatayo:

(1) Namba ya simu : 0677449476

E-Mail: salmon.michael18@gmail.com

Karibu sana.
Kwahiyo na ww ni hanithi?
 
Njoo uwe mke wa pili kwa sababu kwako ntakuwa nalala tu mechi nacheza kwa bimkubwa
 
Nimejitahidi sana nisikutukane, kabla ujafa haujaumbika. Unanidhiaki na kunidharau kwani haya matatizo niliyataka mimi? Nimpango wa Mungu mtu kuwa jinsi alivyo au atakavyo kuwa baadae. Ninakuombea upate ulemavu mkubwa mzito sana halafu watu wakudhihaki na kukudharau kama unavyonifanyia mimi mpaka siku unakwenda kaburini na unayotaka kuwafanyia wengine ufanyiwe wewe. Haya maneno yaifadhi kwa kumbukumbu ya baadae.
 
Ndugu nina changamoto hii lakini napatwa na upweke sana kukaa pekee yangu, hivyo, ninamtafuta mwanamke mwenye changamoto kama ya kwangu ili tuishi pamoja na tupeana company na faraja na tushirikiane kutafuta maisha maana ninao uwezo wa kumtunza mke na nina kazi nzuri tu. Simuhitaji kabisa mwanamke aliyekamilika namuhitaji mwanamke mwenye matatizo kama yangu. Watu wanachangamoto nzito duniani ukiwa una mzima hata kama wewe maskini basi mshukuru mungu wako.

pole sana
 
Mimi ni mwanaume, hata mimi pia natafuta mwanamke wa kupeana emotional support bila kuhusisha sex, niko serious kwenye hili na ninasema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu. Nilitamani sana siku nyingi kupata mwanamke wa namna hii. Ni imani yangu kuwa mimi na wewe tutaishi maisha yenye upendo wa dhati kabisa na maisha yenye furaha na mafanikio makubwa sana katika nyanja zote za maisha kuliko unavyoweza kufikiri. Usikate tamaa na maisha amini kuwa unaweza kuwa above your worst circumstances kwa kufanikiwa kutatua tatizo zito sana kwenye maisha yako na kuwa na furaha ya kweli katika maisha yako. Maswala mengine yote yako vizuri, tutaongea kwa kina zaidi privately, nimetembelea PM yako it is not accessible, hivyo unaweza kuwasiliana na mimi kupitia kwa mawasiliano yangu yafuatayo:

(1) Namba ya simu : 0677449476

E-Mail: salmon.michael18@gmail.com

Karibu sana.
Wewe ni Mwanaume ?? Au kavulana ?
Nifafanulie.
 
Ndugu nina changamoto hii lakini napatwa na upweke sana kukaa pekee yangu, hivyo, ninamtafuta mwanamke mwenye changamoto kama ya kwangu ili tuishi pamoja na tupeana company na faraja na tushirikiane kutafuta maisha maana ninao uwezo wa kumtunza mke na nina kazi nzuri tu. Simuhitaji kabisa mwanamke aliyekamilika namuhitaji mwanamke mwenye matatizo kama yangu. Watu wanachangamoto nzito duniani ukiwa una mzima hata kama wewe maskini basi mshukuru mungu wako.
Pole sana .But dawa si zipo au??!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom