Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
Tutapamga gharama za wao kunilipa maana wamenidhalilisha sana,Kama sh ngapi jumla?
Ni kwamba wamenichafuaNingekupa namba ya mmoja ila sijui kampuni imekufanyaje,
Nipo mdogo wake TAL nipe mchongo mzimaNi kwamba wamenichafua