Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae watoto watatu

Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae watoto watatu

funza2004

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
15
Reaction score
1
Habari wadau, mimi ni mwanaume wa miaka 43 na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu bila kuoana na kumtunza yeye na wanangu hao ikiwemo kumjengea nyumba.
sifa:~
1.awe mha
2.mwalimu wa shule ya
msingi
3.awe mwenyeji wa kasulu
4.awe tayari kupima HIV
5.awe hana mahusiano ya
kimapenzi na mwanaume
yeyote

kama unakidhi vigezo nipm
 
What is the world going to when a man doesn't want to marry and still want to enjoy marital benefits!!!!!!
 
Awe na miaka isiyozidi wala kupungua mingapi?
 
Bonyeza Ctrl + Alt + F4 kwenye keyboard yako. BAZINGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom