Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wapendwa
Naona msimu wa mvua umeanza na sikuweza kukamilisha dream yangu ya kuwa na gari.
Kama yupo mwanamke mwenye gari, umri kuanzia miaka 30 na kuendelea; tunaye weza kupeana company sometime; namkaribisha.
Mimi najitegemea na sio wa kubebwa ki hivyo mjapo sijajikomboa kwa usafiri
Mimi naishi pande za sekei - Arusha
Kama upo serious naomba uni pm na nitaheshimu mawazo yako; na nitakupa full support kuhakikisha sikupi usumbufu